Mitihan ya nusu muhula ni muhimu sana Inasaidia wanafunzi kutathimini uelewa wao kabla ya mitihani. Nimeona mwanangu akijiamini zaidi baada ya kufanya vizuri. Asanteni kwa kufanya mazoezi haya yawe rahisi kuelewa
Nimeipenda jinsi mitihani ya nusu muhula ilivyoundwa kwa uangalifu! Maswali yalikuwa sawa na yaliyofundishwa, na yalimsaidia mwanangu kutambua sehemu alizohitaji kujifunza zaidi. Hii ni njia nzuri ya kuwapa wanafunzi mwelekeo wa kujiandaa kwa mitihani ya mwisho.
Mitihan ya nusu muhula ni muhimu sana Inasaidia wanafunzi kutathimini uelewa wao kabla ya mitihani. Nimeona mwanangu akijiamini zaidi baada ya kufanya vizuri. Asanteni kwa kufanya mazoezi haya yawe rahisi kuelewa
ReplyDeleteNimeipenda jinsi mitihani ya nusu muhula ilivyoundwa kwa uangalifu! Maswali yalikuwa sawa na yaliyofundishwa, na yalimsaidia mwanangu kutambua sehemu alizohitaji kujifunza zaidi. Hii ni njia nzuri ya kuwapa wanafunzi mwelekeo wa kujiandaa kwa mitihani ya mwisho.
ReplyDelete