FUZU KISWAHILI: Kidato cha Pili

 

Habari za leo Walimu wenzangu wa somo la Kiswahili,

Kwa unyenyekevu mkubwa, nawaletea kitabu Kipya cha Kiswahili Kidato cha Pili, chenye Maswali na Majibu ya Mitihani ya Taifa kuanzia 2010 hadi 2024 kilichoandaliwa kwa ufanisi mkubwa

 Nina imani kwamba kitabu hiki kitakuwa msaada mkubwa kwa walimu na wanafunzi katika Maandalizi ya mitihani pamoja na kuimarisha ufundishaji na uelewa wa somo letu adhimu la Kiswahili.


Nimewaletea ladha ya tofauti katika kitabu hiki.Tofauti hiyo ni kama:

1. Bei yake ni rafiki na nafuu sana.


2. Kitabu kimoja ni Tsh 7,000 tu.


3. Kwa ununuzi wa jumla (vitabu kuanzia 10), bei ni Tsh 6,000 tu.


🙏 Naomba support yenu kwa kununua kitabu hiki. Karibuni sana.


 Scolastica Bara

📞 0715 418 891

No comments

Post a Comment

© all rights reserved
made with by templateszoo