SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA TANGAZO LA KUITWA KAZINI

Tangazo la Kuitwa Kazini

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

OFISI YA RAIS

SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA

Kumb. Na. JA. 9 /18/01"C"/119 13/06/2025

TANGAZO LA KUITWA KAZINI

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 05-01-2025 na tarehe 18-05-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumulsha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana

Wasailiwa wote waliofaulu usaili na kupangiwa vituo vya kazi, BARUA zao za kupangiwa vituo vya kazi watazipata kupitia AKAUNTI zao za Ajira Portal kwenye sehemu ya My Applications, hivyo watapaswa kupakua na kutoa nakala (Download and Print) barua hizo na Kwenda nazo kuripoti katika vituo vya kazi walivyopangiwa.

Aidha, waombaji kazi waliofaulu usaili na kupangiwa kituo cha kazi wanatakiwa kuripoti kwa Mwajiri katika muda ambao umeainishwa kwenye barua za kupangiwa kituo cha kazi wakiwa na vyeti halisi (Originals Certificates) za masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea iii vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya Ajira. Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa.

NA MAMLAKA YA AJIRA KADA NA MAJINA YA WALIOTIWA KAZIN
1 Halmashauri ya Mji wa Kondoa ICT OFFICER GRADE II (DATA ANALYST) 1 LWITIKO WILLIAM MWAMBUGA
AFISA HESABU DARAJA LA II (ACCOUNTS OFFICER II) 1 ABDUL SANGALI ABDALLAH
2 MONICA LEONCE PARESO
3 RICHARD HENRY WAKHALY
AFISA KILIMO DARAJA LA II (AGRICULTURAL OFFICER II) 1 LOSERIAN MBOYO MELAYEKI
AFISA KILIMO MSADIZI DARAJA LA III (AGRICULTURE FIELD OFFICER III) 1 HAMISA MOHAMED DANIEL
2 JONAS KOLLEN MALATA
3 JOSEPH DICKSON MPENDAKAZI
AFISA MAENDELEO YA JAMII MSADIZI DARAJA LA II (ASSISTANT COMMUNITY DEVELOPMENT OFFICER II) 1 ANTONY ADOLF KYOBYA
2 ELISA CHARLES KAJEMBE
AFISA UKAGUZI WA NDANI II 1 JANETH THOMAS YOMO
ICT OFFICER II (DATABASE ADMINISTRATION) 1 MOHAMED MFWIMI MPELEMBWA
MCHUMI DARAJA LA II (ECONOMIST II) 1 GIFT TITO SWAI
MWALIMU DARAJA LA III B (BAIOLOGIA) 1 DEODATHA DONATUS GORDIAN
2 NATUJWA GADI KARANI
MWALIMU DARAJA LA III B (KEMA) 1 MARIAM BASHIRI KIGINGI
MWALIMU DARAJA LA IIIA 1 AISHA MUHIDIN HUSSEN
2 CHARLES WAYEGA MAGAS
3 DIANA WILLIAM HYERA
4 EMMANUEL LEONARD MAGAWA
5 FORTUNATUS CHIBUGA JUMA
6 JACKLINE EMANUEL MARGWE
7 JAMES AMMI TLUWAY
8 JOVINA LEOPORD TUMUSHABE
9 SAYYID MWITA ZEPHANIA
10 WILLIAM MARKUS KAYOMBO
2 Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro AFISA KILIMO MSADIZI DARAJA LA II (AGRICULTURAL FIELD OFFICER) 1 AGNES YOTHAM MPOLENKILE
2 DICKSON ZENO BARTON
3 HERIETH CHRISANT MAFUA
4 JOACHIM JOHN BUCHUMA
5 YOHANA ONESMO MSAMBA
AFISA KILIMO DARAJA LA II (AGRICULTURAL OFFICER II) 1 NAOMI ACKIM MWASESE
TECHNICIAN II (CIVIL ENGINEERING) 1 CHARLES PETER MWAKIBOLWA
2 EMMANUEL FAUSTINE MWITA
3 HENRICO FIDELIS NKOLEKWA
4 HUSSEIN ALLY SHABANI
3 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Geita AFISA TEHAMA MSAIDIZI DARAJA LA II (ASSISTANT INFORMATION AND COMMUNICATION TECHNOLOGY OFFICER II) 1 PASCHAL MCHEKA IDEGE
MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA LA II (RECORDS MANAGEMENT ASSISTANT II) 1 BRIGHTNESS GODLIVING MMBANDO
2 GIDION EZEKIA MWAJA
3 RACHEL JOSHUA MSAMBA
4 RADHIA HAMIS KABEZI

No comments

Post a Comment

© all rights reserved
made with by templateszoo