JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA RAIS
SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA
Kumb. Na. JA. 9 /18/01"C"/117 13/06/2025
TANGAZO LA KUITWA KAZINI
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 06-05-2025 na tarehe 07-05-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumulisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana
Wasailiwa wote waliofaulu usaili na kupangiwa vituo vya kazi, BARUA zao za kupangiwa vituo vya kazi watazipata kupitia AKAUNTI zao za Ajira Portal kwenye sehemu ya My Applications, hivyo watapaswa kupakua na kutoa nakala (Download and Print) barua hizo na Kwenda nazo kuripoti katika vituo vya kazi walivyopangiwa.
Aidha, waombaji kazi waliofaulu usaili na kupangiwa kituo cha kazi wanatakiwa kuripoti kwa Mwajiri katika muda ambao umeainishwa kwenye barua za kupangiwa kituo cha kazi wakiwa na vyeti halisi (Originals Certificates) za masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea iii vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya Ajira. Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa.
NA | MAMLAKA YA AJIRA | KADA | NA | MAJINA YA WALIOTIWA KAZIN |
---|---|---|---|---|
1 | Wizara ya Afya | MEDICAL OFFICER II | 1 | ABDALLAH HASSAN ABDALLAH |
2 | ABUU SHABANI KISUMUNI | |||
3 | ADAM PASTORY MONDEA | |||
4 | ADAMSON JOHN MAHALI | |||
5 | AGNES APOLINARY KIMARIO | |||
6 | ALBERT NICHOLAUS MGAYA | |||
7 | ALFRED GAME PIUS | |||
8 | ALLEN DAVID MAHENDE | |||
9 | ALPHA CLARENCE MWINUKA | |||
10 | ANANDUMI JEREMIA MMARI | |||
206 | TRIFA GERSON MANGULA | |||
207 | VYAZIMANA NDASHIKIWE SIMON | |||
208 | ABDULAZIZ ABDALLAH NASSORO | |||
209 | AISHATH BYELA ABDU | |||
210 | ASHA HASHIM MIYVANGE |
No comments
Post a Comment