HALMASHAURI YA MANISPAA YA NAMTUMBO MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) - KATA YA MKONGO (With Marking scheme)

NAMTUMBO MTIHANI WA UTAMILIFU (MOCK) KATA YA MKONGO Exam Answers

KATA YA MKONGO Exam Answers

SEHEMU E. UFAHAMU (Alama 10)

i) Mwalimu alisimulia kuhusiana na ndege anayeitwaje? Mbuni

ii) Je, ndege huyo huwa anatembea kwa mtindo gani? Kwa madaha

iii) Ndege huyo anazaliana kwa kupitia njia gani? Kwa kutaga mayai

iv) Taja jina la mwalimu aliyeeleza kuhusu ndege huyo? Mwalimu Mbawala

v) Mwalimu huyo anafundisha darasa la ngapi? Darasa la nne

SEHEMU B. MSAMIATI (Alama 10)

Question Answer
i) Siku ya Jumamosi mimi na wadogo ______ tulikwenda kutembelea fukwe za bahari. (a) wangu
ii) Mafuriko yalitokea ulipofika msimu wa ______ ambapo kulikuwa na mvua nyingi na upepo mkali. (a) vuli
iii) Mwalimu aluliza kwamba ni mwanafunzi ______ amechelewa kuingia darasani? (a) nani
iv) Athmani ______ mrefu kuliko wachezaji wote walipo uwanjani (b) ni
v) Je, kati ya maneno yafuatayo ni upi uwingi wa neno unga? (c) maunga

SEHEMU C

i) Kidole kimoja hakivunji chawa

ii) Mwanzo ndio mwendo

iii) Nini maana ya nahau isemayo "Ng'oa nanga" Ondoa mizigo

iv) Tegua kitendawili kifuatacho. Miche ya shamba letu halhesabiki Nyota

v) Tega kitendawili ambacho jibu lake ni "ugali" Nenda mbele nenda nyuma, nenda juu nenda chini, lakini haiondoki mahali pake

SEHEMU D: UTUNGAJI

i) Tukisoma bidii kwa mithani tutafaulu

ii) Mbweha ni mnyama porini anayekula

iii) Wiki moja ina siku saba

iv) Nilipofaulu mithani nilipewa zawadi

v) Maua ya darasa letu hupambwa kwa mazuri sana

SAYANSI NA TEKNOLOJIA

i) Mchoro unaonesha ukuaji wa nzi. Je aina ya ukuaji unachohusisha hatua nne za ukuaji huitwa mabadiliko ya kimetamofosi kamili

ii) Mdudu huyo huzaliana katika mazingira ya namna gani? Katika mazingira machafu

iii) Mdudu huyo huwa ni maarufu kwa kueneza ugonjwa gani? Homa ya matumbo (kuhara)

iv) Je, ni hatua ipi ya ukuaji wa mdudu huyo ambayo anakula sana na huchukua angalau siku sita kuwa mdudu kamili? Hatua ya lava

v) Tunapaswa kufanya nini ili kutokomeza mazao ya mdudu huyo? Kuhifadhi usafi wa mazingira na kufunga vyakula

HISTORIA YA TANZANIA NA MAADILI

Question Answer
i) Utamaduni wa asili za jamii za kitanzania umejengwa katika misingi mikuu ifuatayo. Bainisha misingi hiyo? (c) kuheshimiana na upendo
ii) Ngoma za asili ni utamaduni wa Mtanzania. Ngoma hizo húchezawa kwa mitindo tofauti kama ifuatavyo isipokuwa (b) kupigana risasi
iii) Mienendo, taratibu au kanuni za jamii zinazotendwa mara kwa mara huwa zinajulikana kama (c) desturi
iv) Jamil za kale zilitunga nyimbo na hadithi ambazo hadi sasa zinatupa masimulizi mazuri ya maisha. Je, nyimbo na hadithi hizo zilijikita katika kufundisha na kumarisha nini? (d) maadili mazuri ya jamii
v) Maarifa na ujuzi wa asili katika kilimo vilijhusisha stadi mbalimbali. Stadi hizo ni kama zifuatazo isipokuwa (a) stadi za kupambana na adui

JIOGRAFIA NA SANAA

Question Answer
i) Vitu muhimu vinayopatikana mahali kama vile maji, madini na misitu hujulikana kama vile (b) rasilimali
ii) Mistari inayogawanya ramani katika miraba ambayo hukusaidia kupata maeneo mahususi kwenye ramani hujulikana kama (c) mistari ya gridi
iii) Miongoni mwa vipengele muhimu vya ramani ni skeli. Bainisha kipengele hicho huonesha nini? (d) huonesha uhusiano wa umbali katika ramani na ardhi
iv) Mzee Ngaila alichora ramani ambayo ndani yake inaonesha alama ifuatayo: - Je, alama hiyo huwakilisha nini? (d) reli
v) Unapotaka kuandaa sanaa za maonesho unaweza ukatumia baadhi ya vifaa vifuatayo, Isipokuwa (b) grudu
vi) Mavazi ambayo wagizaji huvaa kwenye sanaa za maonesho huitwaje? (d) maleba
vii) Pande kuu za dunia ni muhimu sana katika maisha yetu ya kila siku. Zifuatazo ni baadhi ya umuhimu huo je ni upi sio sahihi? (c) wakulima kuchagua aina ya udongo katika kilimo
viii) Wakati wa jioni jua huzama upande wa magharibi na mawingu hubadilika rangi ishara ya nyakati za jioni. Je, wakati huo huitwaje? (d) machweo

HISABATI

Question Answer
i) Wanafunzi wa shule ya msingi Nsangi wanasema idadi yao "Elfu tatu na tatu". Je, idadi hiyo huandikwaje kwa tarakimu? 3,003
ii) Katika namba ifuatayo ni ipi thanani ya namba iliyopigiwa mstari 197806= 7,000
iii) Mwalimu Mzega alichora Abakusi ifuatayo. Je aliwakilisha namba ipi? 3,142
iv) Juma alipewa sh. 865500 na baba yake kwa ajili ya kununua baiskeli. Andika kiasi hicho kwa maneno Laki nane na sitini na tano elfu mia tano
v) Andika namba 24756 kwa kirefu Ishirini na nne elfu mia saba na hamsini na sita
vi) Chunguza mtiririko wa namba ufuatao kisha bainisha namba iliyokosekana 69, 60, 51, _____, 33. 42
vii) Tabitha alinunua maembe mawili siku ya kwanza. Akaongeza kununua zaidi maembe matatu siku zinazofuata. Je, siku ya nne jumla alinunua maembe mangapi? 11
viii) Machungwa yalipangwa kwa mtiririko ufuatao. Bainisha tendo la kihisabati lilitumika kupanga machungwa hayo: 750, 600, 450, 300, 150. Kutoa 150
ix) Panga namba zifuatazo kwa mpangilio kuanzia namba kubwa hadi ndogo zaidi 200, 190, 903, 703, 341, 41. 903, 703, 341, 200, 190, 41
x) Andika namba ifuatayo kwa tarakimu za kawaida CMXL. 940

ENGLISH LANGUAGE

i) What did Monde catch? A big fish

ii) Why did Monde scream? Because he caught a very big fish

iii) What did Tutu do? He helped Monde pull the fish out of water

iv) What was the size of a fish? Very big

v) What did Monde use to catch the fish? Fishing rod

SCIENCE AND TECHNOLOGY

Question Answer
i) Which part of human eye helps to focus light or an image on the retina? (d) lens
ii) The human tongue has got various taste buds for testing different tastes. What does the middle part of the tongue taste? (a) bitter
iii) Our science teacher taught us that there are ______ sense organs (c) five
iv) Which among the sense organs was able to identify the color of the atmosphere during the night? (a) eye
v) How do we call the type of cells which are found on the tongue that identifies different tastes? (c) sensory cells

No comments

Post a Comment

© all rights reserved
made with by templateszoo