HALMASHAURI YA JIJI LA MBEYA MTIHANI WA UTIMILIFU KATA YA SISIMBA

MTIHANI WA UTIMILIFU KATA YA SISIMBA MOCK7 MBEYA Exam Answers

MOCK7 MBEYA Exam Answers

KISWAHILI - DARASA LA VII

SEHEMU A

1.i) Kiongozi gani alitembelea shule ya msingi Songambele? B. Mkuu wa Wilaya

ii) Wanafunzi walieleza umuhimu wa vyama vya mazingira kuwa ni A. Kusaidia jamii zao

iii) Ni kigezo gani alikitumia mkuu wa Wilaya kutoa zawadi kwa vyama vya usafi wa mazingira? C. kueleza kwa kifupi majukumu yake

iv) Mkuu wa Wilaya alitoa agizo gani kwa wanafunzi wote? C. wanafunzi kujiunga na vyama vya utunzaji wa mazingira

v) Nini maana ya neno ziara kama lilivyotumika katika habari? E. kutembelea au kuzuru mahali fulani

SEHEMU B

Question Answer
2.i) Mwasandube alikuwa hapendi kushirikiana na wenzake katika kutumia vitu vyake. Ni nahau gani itakayomfaa? C. Anazunguka mbuyu
ii) Baraka alisema, atasoma juma lijalo. Sentensi hii ipo katika nafsi ipi? B. Nafsi ya tatu umoja
iii) Petronila na kaka yake hushirikiana sana katika kazi za shambani. Sentensi hii ipo katika kauli ipi? C. kutendana
iv) Humo _____ alimotumbukia Mwanasesere tulipokuwa tukicheza. B. ndipo
v) Katika orodha ya maneno ifuatayo ni neno lipi halifanani na mengine? D. nyumba
vi) Mwalimu mgeni alikuwa anataka kutufundisha somo la Kiswahili. Neno lipi katika sentensi hii limetumika kama kivumishi? C. mgeni
vii) Ni methali ipi kati ya hizi zifuatazo inafaa kwa ajili ya malezi ya mtoto ili aweze kuwa na tabia njema? E. Samaki mkunje angali mbichi
viii) Nini uwingi wa sentensi ifuatayo "Kuku wetu mweusi ametaga mayai mengi sana" B. Kuku zetu weusi wametaga mayai mengi sana
ix) Tegua kitendawili kifuatacho "Ameingia shimoni aktiva uchi, akatoka amevaa nguo razuri" D. mbegu
x) Taja aina ya sentensi ifuatayo "Wangalisoma kwa bidii wasingalipata alama za chini" B. shurutia

SEHEMU C

6. Vipengele vya uandishi wa barua ya kirafiki:

i) Anwani ya mtumaji

ii) Tarehe

iii) Maaneno ya salamu

iv) Mwili wa barua

v) Salamu za mwisho na saini

URAIA NA MAADILI - DARASA LA VII

Question Answer
1.i) Nini umuhimu wa kuwahudumia na kuwafariji wahitaji katika jamii? A. kujenga upendo na kuthamini utu
ii) Uvumilivu wa kisiasa ni msingi wa demokrasia kwa sababu C. Unaleta kuelewana kwa pande zinazopingana kikitikadi
iii) Ipi ni hatua ya tahadhari ya kuchukua kabla ya janga la moto kutokea? E. kujenga nyumba zenye milango na madirisha ya dharura
iv) Kuendelea kwa tatizo la rushwa ni changamoto inayozikabili taasisi za serikali na asasi zisizo za kiserikali kwa sababu gani? C. Maadili na uadilifu unaokosekana
v) Zifuatazo ni faida za kujenga uhusiano mwema na watu katika jamii isipokuwa C. kuzuia maradhi ya kuambukiza
vi) Ipi kati ya sentensi zifuatazo si kweli kuhusu faida za kuwa na mpango wa kazi? E. hufanya suala la ufuataliaji na tathmini kuwa gumu
vii) Kutunza vyanzo vya maji kama mito, maziwa na bahari huleta faida gani katika jamii? A. Husaidia wasiojiweza kupata huduma za maji
viii) Miongoni mwa njia zifuatazo ipi ni njia sahihi ya kuepuka kufanya makosa ya mitandao ya mawasiliano? B. kutii sheria na kanuni
ix) Kipi ni miongoni mwa vitendo vinavyoonesha mtu anayejihusisha na tabia hatarishi? C. kuzurura usiku
x) Ipi kati ya zifuatazo ni njia za haraka za kutangaza fursa zilizopo Tanzania katika nchi za kigeni? A. tovuti, mitandao ya kijamii, majarida na vipeperushi

MARIFA YA JAMII NA STADI ZA KAZI - DARASA LA VII

Question Answer
1.i) Majanga ya asili si mara zote huleta madhara hasi, wakati mwingine huleta faida ipi kati ya zifuatazo si faida zitokanazo na mlipuko wa volkano? D. kusababisha vifo
ii) Tanzania ni nchi iliyobarikiwa kuwa na maliasili mbalimbali. Miongoni mwa maliasili hizo ni mbuga za wanyama. Mbuga ya wanyama ya Mikumi inapatikana mkoa gani? B. Morogoro
iii) Matumizi mabaya ya njia za mawasiliano kama vile kompyuta na simu za mkononi huleta madhara kama vile D. Mmomonyoko wa maadili
iv) Bwana Mgunda anaishi na mke wake na watoto wawili wa kiume wa kuwazaa. Hii ni aina gani ya familia? C. familia ya baba na mama
v) Shirika la kimataifa linaloshughulikia wakimbizi linaitwa D. UNHCR
vi) Ni nchi zipi za Afrika zilipata uhuru wake kwa njia ya amani? D. Ghana, Tanganyika na Nigeria
vii) Ni Gavana yupi alifanikiwa kurudisha fuvu la Chifu Mkwawa? E. Edward Twinning
viii) Maji ni chanzo kizuri cha kuzalisha umeme. Chanzo kingine cha kuzalisha umeme ni A. Upepo na mwanga
ix) Mstari wa Ikweta unapatikana upande gani kutoka jiji la Dodoma? A. Kusini
x) Nini tofauti ya muda kati ya miji miwili moja unapatikana katika meridian kuu na mji mwingine unepatikana 60° Mashariki mwa meridian kuu? D. masaa 4

SAYANSI NA TEKNOLOJIA - DARASA LA VII

Question Answer
1.i) Hewa ni mchanganyiko wa gesi mbalimbali. Ni gesi ipi ina kiwango kidogo katika anga hewa kati ya hizi zifuatazo? E. Haidrojeni
ii) Aina ya udongo inayofaa katika kilimo na ukuaji wa mimea katika mazingira ni B. tifutifu
iii) Alama za usalama zinazotoa maelezo kulinda viumbe hai katika mazingira, Ni rangi ipi huwakilisha alama za lazima au amri? E. nyekundu
iv) Kabla ya tabibu kutoa huduma, Nini umuhimu wa huduma ya awali anayopewa majeruhi? C. hupunguza maumivi
v) Kitu kikizama chote ama kiasi kwenye ugiligili kinapata upinzani wa kani elezi ambayo ni sawa na uzito wa ugiligili uliohamishwa na kitu hicho, ni kanuni ipi? C. kanuni ya Archimedes
vi) Ni aina gani ya antena ambayo ina uwezo wa kupokea na kuchakata mawimbi sumaku umeme unategemea umbali kati ya kidoa na mkeka kati ya hizi zifuatazo? A. Antena kidoa
vii) Moto daraja B huzimwa kwa kutumia gesi ya kabonidayoksaidi na poda kavu. Ni vitu gani vinavyoungua katika moto daraja B? B. karatasi na plastiki
viii) Mama yangu alisema, "Kaka ana dallii zifuatazo; homa, kichefuchefu, mwili kuhisi joto, kutetemeka na kutapika. Kama mwana sayansi dallii hizi ni za ugonjwa gani? C. malaria
ix) Ana alipoteza fahamu kutokana na kukosekana kwa gesi ya oksijeni kwenye ubongo, Je, ni changamoto gani alikumbana nayo? B. kupoteza fahamu
x) Madhara yanayotokana na kufunga kwa muda mrefu, mawazo, kula chakula kichache, na kula chakula chenye bakteria huitwa C. vidonda vya tumbo

ENGLISH LANGUAGE - STANDARD VII

Question Answer
1.i) Which bird is the largest in the world? C. Ostrich
ii) What kind of foods do birds eat? B. seeds
iii) What kind of birds are kept at home? D. Hens and ducks
iv) Mention the benefits we get by keeping hens and ducks D. give us eggs and meat
v) What is the weight of a fully grown ostrich? D. None
2.i) If she had ______ a war, she would have won it. D. fought
ii) He plays football ______ B. everyday
iii) My friends ______ watching the match yesterday E. were
iv) Have you finished your homework? ______ A. yet
v) I ______ TV when the telephone rang. B. was watching

HISABATI - DARASA LA VII

Question Answer
1.a) 978 + 5009 + 56 = 6,043
b) 101010 - 9999 = 91,011
c) 8795 × 29 = 255,055
d) 26901 ÷ 49 = 549
e) 19/1 - 13/1 = 6
f) 4/5 ÷ 53/4 = 16/265
g) 89.56 + 9.2638 = 98.8238
h) 95 × 3.45 = 327.75
i) -30 - -20 = -10
j) 3 × 8 + (20 - 6) ÷ 2 = 31
2.a) Namba ipi katika 9521037 ina nafasi ya thamani ya makumi elfu? 5
b) Tafuta jumla ya thamani ya 4 na 6 katika namba 345621 40,006
c) Kadiria 89.4698 katika nafasi ya pili ya desimali 89.47
d) Tafuta jumla ya namba zinazofuata katika mitiririko huu 4, 25, 49, ____, _____ 121 (pattern: squares of prime numbers)
e) Andika kwa tarakimu "Milioni arobaini na tisa elfu na ishirini na tisa" 49,009,029
f) Andika namba zifuatazo kwa kifupi 7 + 6000000 + 50000 + 100 + 3000 + 20 = 6,053,127
MTIHANI WA UTIMILIFU KATA YA SISIMBA

No comments

Post a Comment

© all rights reserved
made with by templateszoo